LIKE UKURASA HUU KWA HABARI ZAIDI

Powered By Blogger Widgets


.

Sunday, July 12, 2015

MH MAGUFULI NA JANUARY WAANGUA KICHEKO CHA FURAHA.......!!

0 comments



Read More ->>

KIGOGO WA WEMA KORTINI.

0 comments
Jamaa aliyewahi kudaiwa kuwa karibu na mwigizaji Wema Sepetu anayejulikana kwa jina la Clement Mwankayi Kiondo ‘CK’ au Kigogo wa Wema na mwenzake, Emmanuel Kagondela wamepandishwa kortini kwa mashitaka mawili ya kughushi hundi kisha kuchota fedha.
Clement Mwankayi Kiondo ‘CK’ akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi.
Wawili hao walipandishwa kizimbani juzi (Alhamisi) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar.
Katika kosa la kwanza, CK alidaiwa kutenda kosa la kughushi hundi no 302002 yenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 100 kutoka kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu huku akijua kuwa ni kosa kisheria.
Katika kosa la pili, CK ambaye aliwahi kudaiwa kumgombanisha Wema na Kajala Masanja kwa pamoja na Emmanuel, mnamo Machi 13, 2014 walikula njama za kuiba kiasi cha Sh. milioni 100 katika Benki ya NBC, Tawi la Ilala jijini Dar.
Kesi hiyo ambayo ilisikilizwa mbele ya Hakimu Huruma Shahid na Wakili wa Serikali, Aloyce Mbumito, ilidaiwa  mnamo Machi, 2014 kwa nyakati tofauti, jamaa hao walitumiwa kughushi hundi kwenye ofisi hiyo ya Waziri Mkuu.
Katika kujibu tuhuma hizo, washitakiwa wote kwa pamoja  walikana mashitaka na kesi hiyo iliahirishwa hadi Julai 23, mwaka huu.
Katika kesi hiyo watuhumiwa hao walipaswa kuwa na wadhamini wawili-wawili wanaotambulika na kiasi cha Sh. milioni 10 kila mmoja kwa ajili ya kupatiwa dhamana.

Read More ->>

MAGUFULI NDIYE MGOMBEA URAIS WA CCM 2015.....!!!

0 comments
magufuli
MBUNGE wa Biharamulo Mashariki (CCM) na Waziri wa Ujenzi, Mhe. John Pombe Magufuli ameshinda katika uchaguzi wa kumpata mgombea urais wa CCM kwa mwaka 2015. Magufuli ameshinda baada ya kupata jumla ya kura 2104 sawa na 87.1%, Balozi Amina Salum Ali amepata kura 253 sawa na 10.5% na Dk. Asha-Rose Migiro 59 sawa na 2.4%.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Anne Makinda ndiye aliyepewa jukumu la kusoma mshindi katika kura za Kikao cha Mkutano Mkuu wa CCM kilichofanyika kuanzia jana na kuendelea leo asubuhi mkoani Dodoma.
KURA ZILIZOPIGWA: 2422
KURA ZILIZOHARIBIKA: 6
KURA HALALI: 2416


Read More ->>

Meet Catherine Magige the hottest MP from Arusha....Just see how S3xy she is...Photos

0 comments



Read More ->>

Hatua 4 Alizopitia Magufuli Kushinda CCM. Huwezi Kupenya Bila Kuzivuka Hizi. Zisome Hapa

0 comments
Read More ->>

MEEK MILL AKANA KUMUIBA NICKI MINAJ......!!!!

0 comments
 
 Rapa Meek Mill.
New York Marekani
RAPA Meek Mill ameamua kufunguka kuwa hakumuiba mpenzi wake wa sasa, Nicki Minaj kutoka kwa mpenzi wake wa zamani, Safaree Samuels ambaye alidumu na Minaj kwa miaka 12.
 
Rapa Meek Mill akiwa na mpenzi wake Nick Minaj.
“Awali, sikuwa na mipango na Nick kabisa, uhusiano wetu umetokea tu na wala sihusiki katika kuvunjika kwa penzi lake na mpenzi wake wa zamani,” alisema Meek.
Read More ->>

Yule Muhindi Aliyekamatwa Dodoma Na Mabilioni Ya Hela Ya Kuwahonga Nec, Aelezeaa Kila Kitu, Na Zile Pesa Zilikuwa Zinatoka Kwa Mfanya Biashara Mkubwaa....

0 comments

Read More ->>

ZITTO KABWE ADHIHIRISHA NI TIMU EDWARD LOWASA..........!!

0 comments
Chama cha ACT Wazalendo kimekuwa kikidaiwa kufadhiliwa na mwanasiasa mgombea urais Edward Ngoyai Lowasa.Hii ni moja ya kithibitisho uhusiano wa kiongozi mkuu wa chama hicho na waziri huyo mstaafu.
Read More ->>
 

The Best new logo

ADVERTISE HERE

NDEGE TAUSI

| THE BEST © 2013. All Rights Reserved | Template Style by The Best | Design and coded by 0754893991 | Back To Top |