Rapa Meek Mill.
New York MarekaniRAPA Meek Mill ameamua kufunguka kuwa hakumuiba mpenzi wake wa sasa, Nicki Minaj kutoka kwa mpenzi wake wa zamani, Safaree Samuels ambaye alidumu na Minaj kwa miaka 12.
Rapa Meek Mill akiwa na mpenzi wake Nick Minaj.
“Awali, sikuwa na mipango na Nick kabisa, uhusiano wetu umetokea tu
na wala sihusiki katika kuvunjika kwa penzi lake na mpenzi wake wa
zamani,” alisema Meek.


0 comments:
Post a Comment